Logo
Chapisha ukurasa huu

بسم الله الرحمن الرحيم

Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Nyota ndani ya Nyumba Yetu!

Ardhi za Waislamu zinashambuliwa mfululizo na Amerika na mtoto wake, umbile la Kizayuni. Hii inawezaje kuingia akilini, wakati Amerika imetenganishwa na ulimwengu wa Kiislamu na bahari kubwa?!

Amerika haiwezi kutushambulia kama isingekuwa kwa kambi zake katika ardhi zetu, vituo vyake vya uchunguzi vilivyojificha afisi za ubalozi, vibaraka wake miongoni mwa watawala wa Waislamu wanaofanya kazi mchana na usiku kwa amri yake, na kambi yake ya kuu katika ardhi zetu, umbile la Kizayuni. Miundombinu ya Marekani ni nyoka nyumbani kwetu, ambaye atatung’ata tena na tena. Hatutajua usalama, amani, au ustawi mradi tu inabaki ndani ya ardhi zetu, basi kwa nini tusiibomoe?

Watu wa Gaza wamefichua uongo wa dai la umbile la Kizayuni kuwa nguvu isiyoshindika, na Iran imefichua uongo wa dai la Amerika pia. Umma mzima wa Kiislamu unakataa ukoloni na udhalimu wa Marekani!

Wakati umewadia kwa Ummah wa Kiislamu kusimamisha dola yake, Khilafah Rashida ya pili kwa njia ya Utume, ambayo itavunja miundombinu ya nyoka Marekani, aliyejikita ndani ya nyumba yetu.


#لنجعل_أمريكا_تتراجع_مجدداً

#Make_America_Retreat_Again

Imetolewa na: Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah Pakistan

Alhamisi, 17 Shaaban 1447 H – 05 Februari 2026 M

Kwa Maelezo zaidi, Tafadhali Zuru Mitandao ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan:

Tovuti Rasmi ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Akaunti ya Jukwaa la X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan

Template Design © Joomla Templates | GavickPro. All rights reserved.