Waislamu wa Palestina Wamefichua Udhaifu wa Uvamizi wa Kiyahudi, lakini yako wapi Majeshi ya Waislamu?
- Imepeperushwa katika Australia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Juhudi za upinzani nchini Palestina zililipuka mnamo Jumamosi asubuhi kwa shambulizi la alfajiri la kushtukiza kutoka Gaza. Mapigano na wavamizi wa Kiyahudi yalitokea, na kuua kadhaa na kuwakamata wengi zaidi.