Jumatatu, 26 Muharram 1447 - 21 Julai 2025
Mnamo Jumatatu, tarehe 14/07/2025, Waziri wa Habari wa Wizara ya Ujenzi na Mabadiliko, Hashem Sharaf al-Din, alitoa taarifa kwa Shirika la Saba, ambapo alisema: “Kila sarafu ya kitaifa inayotolewa kwa wananchi ni daraja la kuelekea katika maamuzi huru, na kila ushindi wa kiuchumi unaopatikana ni ngome isiyotikisika mbele ya dhoruba na kila mafanikio ya kifedha ni ngao ya kinga katika vita vya hadhi, na upanga unaozikata njama za maadui wa Yemen, kwa fadhila ya Mwenyezi Mungu kwanza, kisha kwa azma ya watu wasiojua lisilowezekana.”
Ewe Hamasa ya Uislamu ndani ya Umma wa Muhammad (saw)…
Miti na mawe yamelia kutokana na hofu iliyotusibu. Vifua vyetu vinatoa damu na maumivu, watoto…
Hizb ut Tahrir / Wilayah Uturuki: Matembezi ya Halaiki ya…
Kwa kuzingatia mauaji ya kikatili (mauaji ya halaiki) ambayo yamekuwa yakiendelea kwa muda wa miezi…
Taasisi zote za Kikoloni, ikiwemo Tume Kuu ya Umoja wa…
Licha ya maandamano na wasi wasi wa ngazi zote za wananchi na vyama vya kisiasa,…
Kitengo cha Wanawake katika Afisi Kuu ya Habari ya Hizb…
Mgogoro wa kikatili nchini Sudan kati ya Wanajeshi wa Sudan (SAF) wanaoongozwa na mtawala mkuu…
Majanga na Maafa ni Matokeo ya Kimaumbile ya Kukosekana Dola…
Katika msururu wa ajali za mara kwa mara na moto wa kutisha-hasa ule moto wa…