Hizb ut Tahrir / Wilayah Uswidi: Hatari za Kushiriki katika Uchaguzi wa Bunge!
- Imepeperushwa katika Sweden
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Mkusanyiko wa video zinazowahutubia Waislamu nchini Uswidi, zinazojadili hatari za kushiriki katika uchaguzi ujao wa bunge la Uswidi na jinsi hii inaweza kusababisha kuoanishwa kwa Waislamu ndani ya jamii ya Uswidi.



