Tanzia ya Mbebaji Ulinganizi: Ustadh Ibrahim Ismail Arar (Abu Khalil)
- Imepeperushwa katika Jordan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Kwa imani katika qadhaa ya Mwenyezi Mungu na kukubali mapenzi Yake, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Jordan inaomboleza mmoja wa wanachama wake, mbebaji da’wah ya Uislamu: Ustadh Ibrahim Ismail Arar (Abu Khalil)



