Hizb ut Tahrir / Amerika: Maoni juu ya Maandamano ya Vyuo Vikuu!
- Imepeperushwa katika Amerika
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Amerika: Maoni juu ya Maandamano ya Vyuo Vikuu!
Hizb ut Tahrir / Amerika: Maoni juu ya Maandamano ya Vyuo Vikuu!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilimpokea afisini mwake adhuhuri mnamo siku ya Jumapili, 26 Shawwal 1445 H sawia na 05/05/2024 M, Al-Nazir Faisal Musa Shugar, Nazir wa makabila yote ya Darfur, na pamoja naye alikuwa Meya Babiker Harun Adam.
Serikali ya Denmark inawatilia shaka raia wa Kiislamu watiifu kwa sheria, wanapofuata maadili ya Kiislamu. Serikali ya Denmark inadai kwamba hata kama vigezo muhimu vya uraia mwema, kwa ufafanuzi wao wenyewe wa uwiano, vitazingatiwa, Muislamu aliyebeba maadili ya Kiislamu ni tishio linalowezekana kwa jamii ya Denmark.
Hizb ut Tahrir Inatoa Salamu za Rambirambi kwa Kuondokewa na Mkurugenzi wa Radio Biladi.
Mkutano baina ya Kiongozi wa Kabila la Al-Habab na Ujumbe kutoka Hizb ut Tahrir Wilayah ya Sudan.
Enyi Wanajeshi wa Kinana: Wajibu wenu ni kuikomboa Palestina yote, kuwanusuru watu wake wanaodhulumiwa, na kuwaondolea dhulma, na kung'oa kila kinachowazuia nyinyi kutekeleza wajibu huu, zikiwemo tawala na watawala waovu.
Sio chuku kusema kwamba tukio la Crocus lilionyesha kuwa tishio la Urusi limefikia kilele chake katika miaka ya hivi karibuni. Kwa hivyo, wakati taharuki hii imeongezeka, uhusiano wa nchi za Magharibi na serikali za Asia ya Kati umeongezeka sana.
Ikiwa umesoma vyema, unajitegemea, unazungumza Kideni barabara na unatii sheria, lakini wakati huo huo ni Muislamu ambaye kiasili unabeba maadili ya Kiislamu pamoja nawe, basi unaweza kuwa hatari kwa jamii ya Denmark.
Enyi Waislamu wa Pakistan! Sasa, ni juu yetu kutimiza jukumu letu kwa Palestina, haswa Waislamu wa Gaza!
Je, majeshi ya Pakistan na Iran yamewapa askari wao na silaha zao haki yake kamili? Majeshi yao ni miongoni mwa majeshi yenye nguvu zaidi duniani, achilia mbali Ulimwengu wa Kiislamu.