Mamlaka nchini Tunisia Inakiuka Matukufu na Kuwashambulia Wanawake!
- Imepeperushwa katika Tunisia
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ijumaa jioni, Januari 26, 2024, katika mji wa Hammamet, kikosi kikubwa cha usalama kilivamia nyumba ya mwanamke mmoja miongoni mwa Shabab wa Hizb ut Tahrir, na kuingia kwa nguvu bila ruhusa.