Iraq kutoka kwa Mkwamo wa Kisiasa Hadi Hatima Isojulikana
- Imepeperushwa katika Iraq
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu uchaguzi wa Oktoba mwaka jana, Iraq imeingia katika mzunguko wa mvutano wa kisiasa, kutokana na mzozo wa Mashiya kwa Mashiya kuhusu aina ya serikali kati ya wengi wanaopigiwa debe na vuguvugu la Sadri, na ushirikiano unaolinganiwa na Mfumo wa Uratibu.



