Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Tuzifanye Pakistan na Iran kuwa Kitovu cha Khilafah Rashida ya Pili!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Waislamu wa Iran pekee ndio walioshambulia dhidi ya Amerika na mtoto wake, umbile la Kiyahudi, wakiwasababishia maumivu ya kweli na kufichua udhaifu na fedheha yao. Licha ya kuwa na silaha kali za kijeshi, hawana ujasiri wa watu wa kweli. Vipi lau Waislamu wa Iran na Pakistan wangeachana na uzalendo na utaifa na kusimamisha Khilafah Rashida ya pili, ili kutumika kama kiini cha umoja wa ulimwengu mzima wa Kiislamu?!



