Hizb ut Tahrir / Wilayah Pakistan: Nyota ndani ya Nyumba Yetu!
- Imepeperushwa katika Pakistan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Ardhi za Waislamu zinashambuliwa mfululizo na Amerika na mtoto wake, umbile la Kizayuni. Hii inawezaje kuingia akilini, wakati Amerika imetenganishwa na ulimwengu wa Kiislamu na bahari kubwa?!



