Hizb ut Tahrir / Wilayah Iraq: Rajab kati ya Jana na Leo!
- Imepeperushwa katika Iraq
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Iraq: Rajab kati ya Jana na Leo!
Hizb ut Tahrir / Wilayah Iraq: Rajab kati ya Jana na Leo!
Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah, Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Jordan yatoa heshima ya kukualikeni kwenye semina ya kisiasa ya kidijitali yenye kichwa: “Suluhisho Msingi na Kadhia Nyeti ya Umma”
Mnamo tarehe 5/12/2025, Trump alitangaza kwa umma hati mpya ya Mkakati wa Usalama wa Kitaifa wa Marekani yenye kurasa 33. Kuna tofauti gani kati ya hati hii na zile zilizotangulia, kama vile mkakati wa Biden?
Video ya Sehemu ya Hotuba ya Amiri wa Hizb ut Tahrir mwanachuoni Mkubwa Ata bin Khalil Abu Rashtah Mwenyezi Mungu Amhifadhi kwa Mnasaba wa Kumbukumbu ya Miaka 105 ya Kuvunjwa kwa Khilafah
Mwaliko wa kushiriki katika kisimamo cha izza kilichoandaliwa na Hizb ut Tahrir / Wilayah Tunisia ili kuadhimisha kumbukumbu ya mapinduzi chini ya kauli mbiu “Mapinduzi Yanaendelea... Kuelekea Khilafah Rashida,” mnamo Jumatano, 14 Januari 2025, katika Barabara ya Al-Thawra.
Baada ya vikosi vya Baraza la Mpito la Kusini (STC) nchini Yemen, vikiongozwa na Aidarus al-Zubaidi, mjumbe wa Baraza la Rais, kupeleka vikosi vyao huko Hadramawt na al-Mahrah, hali ikawa ngumu sana. Rais wa STC Rashad al-Alimi alisitisha makubaliano ya pamoja ya ulinzi na Imarati na kudai kwamba iondoe vikosi vyake kutoka Yemen ndani ya masaa 24. Saudi Arabia ilimuunga mkono mara moja na kushambulia silaha za Imarati katika Bandari ya Mukalla. Kisha Saudi Arabia ilidai kwamba Imarati itii matakwa ya Rashad al-Alimi na kuondoa vikosi vyake kutoka Yemen. Imarati baadaye iliondoka, na hatimaye, al-Zubaidi alikimbilia Imarati. Kwa hivyo, ni nini kilicho nyuma ya kuongezeka huku kwa mgogoro wa Yemen? Je, Uingereza inapoteza washirika wake nchini Yemen? Na je, mzozo huu una vipimo vya kimataifa?
Angazo la amali zilizoandaliwa na Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Tunisia kwa mnasaba wa kumbukumbu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa Khilafah mnamo tarehe 28 Rajab 1342 H.
Mtu anaweza kufikiri, huku akiangalia yanayojiri hivi karibuni katika ngazi ya kimataifa na katika ardhi za Kiislamu, kwamba uhalisia unazidi kuwa wa giza tororo kwa Umma wa Kiislamu, na kwamba matumaini ya kuamka kwake na kuregeshwa kwa heshima yake yanafifia au kupungua. Hata hivyo, kutafakari haya yanayojiri kunaonyesha kwamba yanafichua matumaini ambayo yanajajidishwa na kuzidi kuwa makubwa, na mbinu ya kuelekea mwamko siku baada ya siku.