Mashababu wa Hizb ut-Tahrir Wanabeba Mwenge wa Taa, na Mamlaka nchini Urusi zinawadhulumu na Kuwatesa Tabia Hii Inatukumbusha Nidhamu ya Ufashisti na Unazi!
- Imepeperushwa katika Afisi Kuu ya Habari
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Tangu mwanzo wa mwaka 2021 M, maelezo yote ya mateso ya kikatili yaliyofanyika ndani ya vyumba vya chini vya "Huduma ya Adhabu ya Shirikisho" (FSIN) nchini Urusi yamefichuka mbele ya rai jumla.



