Umbile la Kiyahudi Linaregelea Mauaji ya Watu Wetu katika Ardhi Iliyobarikiwa ya Palestina, Huku Maelfu ya Wanajeshi Wetu Wakizuiliwa ndani ya Kambi Zao!!
- Imepeperushwa katika Misri
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Utawala wa Firauni wa Misri, uliosaidiwa na kuungwa mkono na watawala wa Qatar, iliibuka na kuchukua hatua, chini ya maagizo ya bwana wa umbile la Kiyahudi, na bwana wa Firauni wa Misri, kinara wa ukafiri, Marekani.