Hotuba ya Kisiasa katika Soko Kuu la Port Sudan “Hatari ya Kubadilisha Hukmu za Uislamu”
- Imepeperushwa katika Sudan
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- |
Hizb ut Tahrir / Wilayah Sudan ilitoa hotuba ya kisiasa leo, tarehe 27 Rajab 1446 H, sawia na tarehe 27 Januari 2025 M, katika Soko Kuu la Port Sudan chini ya kichwa: “Kubadilisha Hukmu za Mwenyezi Mungu ni Hatari Kubwa na Madhara Makubwa.”