- |
- Kuwa wa kwanza kutoa maoni!
- ukubwa wa font punguza ukubwa wa font zidisha ukubwa wa font
بسم الله الرحمن الرحيم
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Kongamano la Khilafah la kila Mwaka “Kuhalalisha Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu?!”
Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon yaandaa kongamano lake la kila mwaka kwa kichwa:
“Kuhalalisha Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu?!”
Kwa mnasaba wa kumbukumbu uchungu ya miaka 105 ya kuvunjwa kwa dola ya Khilafah
Mnamo 28 Rajab 1342 H sawia na 3 Machi 1924 M
Basi kuweni pamoja nasi.
Jumamosi, 28 Rajab Tukufu 1447 H – 17 Januari 2026 M

- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali za Kongamano la Khilafah la kila Mwaka -
https://rumble.com/v74feq4-430700620.html
- Matangazo ya Moja kwa Moja ya Amali za Kongamano la Khilafah la kila Mwaka kutoka Tovuti ya Chaneli ya Al-Waqiyah -

- Video ya Ualishi wa Amali ya Kongamano la kila mwaka la Khilafah -
[Uhalalishaji Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu]

- Ripoti ya Habari kuhusu Mwenendo wa Kongamano la kila Mwaka la Khilafah -
[Uhalalishaji Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu]

- Video za Mtiriko wa Kongamano la kila Mwaka la Khilafah -
[Uhalalishaji Mahusiano na Kujisalimisha au Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu]
Kongamano lilianza kwa Kisomo Kizuri cha Quran Tukufu kilichosomwa na Shab Mahmoud Adel Issa

Kongamano lilifunguliwa kwa hotuba ya Dkt. Muhammad Jaber
Mkuu wa Kamati Kuu ya Mawasiliano ya Hizb ut-Tahrir - Wilayah Lebanon, yenye kichwa
"Hatua kwenye Njia ya Kufikia Lengo."

Hotuba ya Ustadh Abdo Al-Dali (Abu Al-Mundhir)
Mwanachama wa Afisi ya Habari ya Hizb ut-Tahrir - Wilayah ya Syria
[Damascus, kitovu cha Ash-Sham, baina ya Uhalisia na Utawala wa Uislamu]

Hotuba ya Mhandisi Ismail Ali
Mwanachama wa Hizb ut-Tahrir - Wilayah Lebanon
[Ukweli wa Mradi wa Udhibiti wa Marekani: Kati ya Uhalalishaji Mahusiano na Kujisalimisha]

Video iliyotayarishwa na Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir katika Wilayah ya Lebanon ilionyeshwa
[Baada ya Kuanguka kwa Khilafah... Uso wa Dunia Ulibadilika!]

Hotuba ya Ustadh Abdul Rahim Shen
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir - Wilayah ya Uturuki
"Dori Kuu ya Uturuki katika Mwangaza wa Mabadiliko ya Sasa."

Hotuba ya Sheikh Ahmad al-Sufi (Abu Nizar)
Mwanachama wa Hizb ut Tahrir - Wilayah ya Lebanon
[Ahadi ya Mwenyezi Mungu na Dola ya Kiislamu]

Hotuba ya Mwisho kutoka Gaza, kutoka kwa Sheikh Abdul Razzaq Al-Majdalawi
"Kimbunga kilifungua vipi njia?"

Sheikh Dkt. Muhammad Ibrahim
Mkuu wa Afisi ya Habari ya Hizb ut Tahrir - Wilayah ya Lebanon
[Taarifa ya Kuhitimisha Kongamano]



Kwa Maelezo Zaidi Tafadhali Zuru Akaunti za Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon:
Akaunti Rasmi ya Mtandano wa X ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon
Akaunti Rasmi ya Facebook ya Hizb ut Tahrir / Wilayah Lebanon




