Jumapili, 14 Dhu al-Hijjah 1447 | 2026/05/31
Saa hii ni: (M.M.T)
Menu
Main menu
Main menu

Pongezi kutoka kwa Amiri wa Hizb ut Tahrir, Mwanachuoni Mkubwa, Ata Bin Khalil Abu Al-Rashtah, kwa Wanaozuru Kurasa zake kwa Mnasaba wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan wa Mwaka 1447 H sawia na 2026 M

Enyi Waislamu, nawakumbusha haya yote katika siku hizi ambapo uvamizi wa kikatili wa Mayahudi dhidi ya Ukingo wa Magharibi pamoja na Gaza unaendelea, kisha uvamizi wa Mayahudi ukaenea hadi Lebanon na Syria… ambapo waliranda wakiwa huru katika nchi za Kiislamu bila kukutana na upinzani wowote wa kweli. Badala ya watawala kuhamasisha majeshi ya Waislamu kupigana na umbile la Kiyahudi, kuwafukuza wale walio nyuma yake na kuikomboa Ardhi Iliyobarikiwa... badala yake, tunawaona watawala hawa wakisaini makubaliano baada ya makubaliano nalo, na hata mtawala dhalimu Trump anawakusanya pamoja ili kuwadhalilisha, bila aibu yoyote mbele ya Mwenyezi Mungu, Mtume Wake, au waumini!

Soma zaidi...

Tangazo la Matokeo ya Kuutafuta Mwezi Mwandamo wa Ramadhan Iliyobarikiwa ya Mwaka 1447 H

Ramadhan inakuja mwaka huu huku Ummah ukisimama kwenye njia panda mpya; kwa upande mmoja unageuka kwenye makaa ya hali ya ukoloni na miiba ya usaliti wa watawala, na kwa upande mwingine hali mpya zinazoibuka za kimataifa, haswa migogoro ya kafiri Magharibi ya kikoloni imetoa fursa mpya ambazo, ikiwa zitakamatwa, zingesababisha Ummah wa Kiislamu kuinuka kwa muda mrefu.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Habari za Zama za Mwisho na Kushuka kwa Masihi (AS)

Ni lazima ieleweke kwamba taarifa zilizomo katika maandiko ya Kiislamu, iwe kuhusu matukio ya zamani au yajayo, lazima zithibitishwe ili zikubaliwe; yaani, hazipaswi kuwa dhaifu au za kubuniwa. Nitataja baadhi ya dalili sahihi zinazohusiana na swali lako, lakini sitataja zote; Unaweza kupata zaidi katika vitabu vinavyohusika vya fiqh ya Kiislamu.

Soma zaidi...

Kuikaribisha Ziara ya Modi: Khiyana ya Wazi kwa Damu na Heshima ya Umma wa Kiislamu

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amepangwa kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia mnamo Februari 7-8, 2026, na inaripotiwa kwamba anatarajiwa kupokea mapokezi makubwa kutoka kwa serikali na jamii ya Mabaniani nchini Malaysia. Kibaraka huyu wa Amerika mara nyingi hupokea mapokezi ya heshima katika nchi nyingi kote duniani na hupewa tuzo nyingi na nchi anazotembelea, wakiwemo watawala Ruwaibidha wa Waislamu, kiasi kwamba baadhi wako tayari kukita masanamu ili tu kumfurahisha kiongozi huyu mshirikina.

Soma zaidi...

Jibu la Swali: Ni Yapi Yaliyo Nyuma ya Ongezeko la Mgogoro wa Yemen

Baada ya vikosi vya Baraza la Mpito la Kusini (STC) nchini Yemen, vikiongozwa na Aidarus al-Zubaidi, mjumbe wa Baraza la Rais, kupeleka vikosi vyao huko Hadramawt na al-Mahrah, hali ikawa ngumu sana. Rais wa STC Rashad al-Alimi alisitisha makubaliano ya pamoja ya ulinzi na Imarati na kudai kwamba iondoe vikosi vyake kutoka Yemen ndani ya masaa 24. Saudi Arabia ilimuunga mkono mara moja na kushambulia silaha za Imarati katika Bandari ya Mukalla. Kisha Saudi Arabia ilidai kwamba Imarati itii matakwa ya Rashad al-Alimi na kuondoa vikosi vyake kutoka Yemen. Imarati baadaye iliondoka, na hatimaye, al-Zubaidi alikimbilia Imarati. Kwa hivyo, ni nini kilicho nyuma ya kuongezeka huku kwa mgogoro wa Yemen? Je, Uingereza inapoteza washirika wake nchini Yemen? Na je, mzozo huu una vipimo vya kimataifa?

Soma zaidi...
Jiunge kwa hii RSS feed

Vifungu vya Tovuti

Viunganishi

Magharibi

Ardhi za Waislamu

Ardhi za Waislamu